Nahitaji mke mwema

Nahitaji mke mwema

Joined
Jan 14, 2018
Posts
13
Reaction score
7
Habari wakuu.

Nina miaka 41, niko Dar, mkristo (kkkt) na sina mtoto.

Nina ulemavu wa mkono mmoja, nimeajiriwa serikalini.

Nahitaji mke mwenye hofu ya Mungu wa kuishi nami.

Ambaye yupo serious tuwasiliane kwa pm.

Karibuni
 
Haya Ke wote wenye kuhitaji kuolewa mna-qualify, jamaa hana masharti mengi, ilimradi uwe Ke tu inatosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kusema amajiriwa swrikalin bhas
Alishapata
 
Back
Top Bottom