SENIOR BACHELOR 2018
Member
- Jan 14, 2018
- 13
- 7
Habari wakuu.
Nina miaka 41, niko Dar, mkristo (kkkt) na sina mtoto.
Nina ulemavu wa mkono mmoja, nimeajiriwa serikalini.
Nahitaji mke mwenye hofu ya Mungu wa kuishi nami.
Ambaye yupo serious tuwasiliane kwa pm.
Karibuni