Nahitaji mke mwema

Baron Digo

Member
Joined
May 9, 2015
Posts
40
Reaction score
35
Mimi ni mwanaume wa miaka 40 na nina watoto 3. Ni mwajiriwa na mfanyabiashara. Nahitaji mke wa kufunga naye ndoa mwenye sifa zifuatazo:
1. Mcha Mungu kweli wa dini yoyote
2. Asiwe mwajiriwa au awe ameajiriwa/amejiajiri sekta isiyo rasmi
3. Umri miaka 25-35
4. Mweusi mwenye umbo la kibantu ila si kibonge
5. Awe na mtoto si zaidi ya mmoja au asiwe na mtoto
Kwa mwenye sifa hizo tuwasiliane kwa email: r.dimelo@outlook.com
 
Wkipatikana wawili mnoja nipasie mm kwa mp mkuu

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…