Nahitaji mke wa kuoa awe mnene

Mzee 🀣🀣
Wakati mko mnapeak at 32/33/34/35/36 uwa mnaringaa.
Mkishakuwa wababa wazee wa 40s mnaacha kunyata πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwanaume mwenye afya ya mwili na akili na ana fedha na anakula vyema kabisa, sio mtu wa mapombe sana, hadi 65 yrs anakula mzigo sanaaa, huwezi amini, 45 yrs bado yuko at highest peak, labda ukute hali yake mbaya kiafya au kifedha. Maana hivyo vitu viwili vinachangia performance ya mwanaume sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…