Nahitaji mke wa kuoa mwaka huu

Nahitaji mke wa kuoa mwaka huu

Kiti Chema

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Posts
1,793
Reaction score
1,961
Habari wana JF.

Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu.

Sifa zangu.
Umri, 27
Dini, mkristo
Kazi, fundi Umeme

Sifa za mke nimtakaye.
Awe mrefu kiasi
Umri. 20- 25
Dini. Yoyote
Elimu. Yoyote.
 
Acha uvivu mwanangu. Mke au mme wa kukufaa hatafutwi kwenye mtandao. Utaingizwa mkenge na uishie kujuta.
 
Acha uvivu mwanangu. Mke au mme wa kukufaa hatafutwi kwenye mtandao. Utaingizwa mkenge na uishie kujuta.
hahaha, nafahamu hilo mkuu. But hauwezi kujuwa bahati yangu ipo wapi maana kuna jamaa alioa mke kupitia facebook na mpaka sasa wanawatoto wawili na wako powa tu.
so najaribu bahati yangu
 
Back
Top Bottom