Kiti Chema JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,793 Reaction score 1,961 May 27, 2021 #1 Habari wana JF. Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu. Sifa zangu. Umri, 27 Dini, mkristo Kazi, fundi Umeme Sifa za mke nimtakaye. Awe mrefu kiasi Umri. 20- 25 Dini. Yoyote Elimu. Yoyote.
Habari wana JF. Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu. Sifa zangu. Umri, 27 Dini, mkristo Kazi, fundi Umeme Sifa za mke nimtakaye. Awe mrefu kiasi Umri. 20- 25 Dini. Yoyote Elimu. Yoyote.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 May 28, 2021 #2 Kila la kheri mkuu
Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 7,672 Reaction score 9,039 May 28, 2021 #3 Acha uvivu mwanangu. Mke au mme wa kukufaa hatafutwi kwenye mtandao. Utaingizwa mkenge na uishie kujuta.
Acha uvivu mwanangu. Mke au mme wa kukufaa hatafutwi kwenye mtandao. Utaingizwa mkenge na uishie kujuta.
Kiti Chema JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,793 Reaction score 1,961 May 28, 2021 Thread starter #4 Father of All said: Acha uvivu mwanangu. Mke au mme wa kukufaa hatafutwi kwenye mtandao. Utaingizwa mkenge na uishie kujuta. Click to expand... hahaha, nafahamu hilo mkuu. But hauwezi kujuwa bahati yangu ipo wapi maana kuna jamaa alioa mke kupitia facebook na mpaka sasa wanawatoto wawili na wako powa tu. so najaribu bahati yangu
Father of All said: Acha uvivu mwanangu. Mke au mme wa kukufaa hatafutwi kwenye mtandao. Utaingizwa mkenge na uishie kujuta. Click to expand... hahaha, nafahamu hilo mkuu. But hauwezi kujuwa bahati yangu ipo wapi maana kuna jamaa alioa mke kupitia facebook na mpaka sasa wanawatoto wawili na wako powa tu. so najaribu bahati yangu