Nahitaji mke wa kuoa, very serious

Nahitaji mke wa kuoa, very serious

Gtt

Senior Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
128
Reaction score
123
Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye sifa za kuwa mke.
Sifa zangu:
Umri 28
Dini mkristo
Mengine pm

Sifa za nimtakaye:
Awe chini ya umri wangu .
Sichagui dini.
Awe anajitambua .
Kwa aliye tiyari anakaribishwa Pm kwa mazungumzo zaidi.
Naishi DSM.
 
All the best brother. Maliza mwaka kwa jambo jema
 
Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye sifa za kuwa mke.
Sifa zangu:
Umri 28
Dini mkristo
Mengine pm

Sifa za nimtakaye:
Awe chini ya umri wangu .
Sichagui dini.
Awe anajitambua .
Kwa aliye tiyari anakaribishwa Pm kwa mazungumzo zaidi.
Naishi DSM.
I recommend Miss Natafuta
 
Sijakuelewa mkuu
Namaanisha njia unayotumia kutafuta mke siyo nzuri( mtazamo wangu tu), mke si demu kwamba utampiga chini muda wowote na usipate hasara mkuu. Kuna nyuzi nyingi sana zinaongelea madhara ya kukosea kuchagua mke/mume humu JF. Kumbuka mke ni mtu utakaekuwa nae masaa yote, maisha yote na hata mkizinguana bado mtalala kitanda kimoja( adui ulale nae kitanda kimoja(ulale na nyoka kitandani)). **** mtu akitaka mke/mume mara nyingi huwa wanaficha tabia zao mbaya na kuonesha nzuri**** inapaswa umjue sana kabla ya kumpa hicho cheo cha mke la sivyo utakuja kurudi JF ukiomba maoni baada ya kuchezea za uso.
 
Mkuu pamoja na angalizo lako zuri, umenionea bila huruma. Aliyeleta tangazo la kutafuta mke ni Gtt mie nikamweleza kuwa; kwa mtizamo wangu ajaribu kwa Miss Natafuta maana naye jana kadai kuwa wanawake wenye akili kama yeye hawaolewi. Jack kila siku anaomba angalau apate mume kabla ya mwisho wa mwaka huu. Mie nina wake wengi kwa sasa natamani mchepuko tu na michepuko inapatikana PM tu. Ubarikiwe
 
Sawa mkuu, ni katika harakati tu za kumuongoza bwana mdogo. Nimekupata vema.
 
Back
Top Bottom