Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni kijana wa miaka 31 nina shahada mbili, naishi tanga ni mfanyakazi serikalini. Nahitaji mke wa kuoa awe muislam na angalau awe na elimu ya certificate au zaidi. Kama kuna yeyote aliyeko tayari ani pm kwa mawasiliano zaidi.