Nahitaji mke wa maisha

Judge III

New Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa kiume umri ni 24 yrs. wanajamvi.
Ninaitaji mke wa kuoa na kuanza maisha nae.
Sifa
1. Awe yupo Kanda ya Ziwa akiwa Mwanza ni vzur zaidi
2. Sichagui dini wala kabira
3. Elimu angalau form four ila asizidi level ya Master degree
4. Awe mcha Mungu
5. Mjasiliamali atapewa kipaombele
6. Miaka isizidi 25yrs.
7. Single Mothers wanakaribishwa pia, ila awe na mtoto mmoja tu
8. Awe tayari Kupima HIV
9. Rangi yeyote, ila akiwa maji ya kunde itapendeza
10. Asiwe mnene wala mwembamba sana

NB: KUHUSU MM, NI MREFU WASTAN SANA, MAJI YA KUNDE. NI MJASILIAMALI.

KARIBUNI Pm.......
 
Zingatia
 

Attachments

  • FB_IMG_15257767643252388.jpg
    47.3 KB · Views: 47
Miaka 24 ni tayar Kwa kuoa,,,...
Namimi nijiandae kuoa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…