Nahitaji mke wa pili

Nahitaji mke wa pili

Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji

Awe mcha Mungu mwenye hofu
Asiwe mfupi awe mweupe
Awe anaswali swala 5
Asiwe mzinifu
Mwenye sifa hiz karibu pm
Sasa mbona wewe hujatoa wasifu wako?
Kama hutaki kutoa maelezo mengi waeleze kama una ukwasi kiasi gani
 
Back
Top Bottom