Nahitaji mke

Mimi pia nilitoa tangazo kama hilo ila sikuweka kigezo cha dini wala umr ...mods wakalitoa faster cjajua tatizo hebu mnisaidie
Hahahaa.. Now weka vigezo uone ka wataondoa tena
 
Sifa ninazo ila nahitaji sports man.. Sio mtu legelege..
 
Karibu Sana ila sali Sana I'll mungu akuonyeshe mwanamke super material
 
Mkuu
Futa pumzi kisha sema natafuta mwanamke wa kuoa sio kutoa masharti kama hayo eti mweupe na msomi angalau diploma je ukimapata huyo halafu unae mtaka halafu mkawa hamna masikizano ndani ya Nyumba yenu inakuaje
Mimi naona ni bora usemi nahitaji mwanamke Mwenye kujua Maisha yaani u
Kupata na kukosa akubali kuishi kokote na kula chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…