Nahitaji mke

Nahitaji mke

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Jamani mimi ni mwanaume, nahitaji mke umri wangu miaka 33, mimi ni mfanyabiashara hapa jijini Mwanza.

Nataka nikimbie ukapera nahitaji kuwa na familia sasa. Mwanamke ninae muhitaji awe na mvuto yaani awe mrembo na figure iwe nzuri.

Karibuni wakina dada fursa hii.Sifa zake awe na umbo yaani asiwe mwembamba, miaka isizide 28.

Nasubiri PM
 
Jamani mimi ni mwanaume,nahitaji mke umri wangu miaka 33 ,mi ni mfanyabiashara hapa jijini mwanza.nataka nikimbie ukapera nahitaji kuwa na familia sasa.Mwanamke ninae muhitaji awe na mvuto yaani awe mrembo na figure iwe nzuri.Karibuni wakina dada fursa hii.Sifa zake awe na umbo yaani asiwe mwembamba,miaka isizide 28,Nasubiri PM
Huko mwanza hakuna wanawake? Au ndo domo zege?
 
Mtafute mke usiye muamini sana ili uishi naye kwa tahadhali ili maisha yako yawe marefu yenye furaha.wanaojifanya wametulia ukiwaweka ndani tu wanaku-surprise na mambo ya ajabu
 
Back
Top Bottom