shemahenga
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 130
- 51
Utapata tuuSifa
Awe mcha mungu
Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja
Akili timamu
Asiyependa makuu.
Anayejua kulea watoto wamjue Allah
Miaka 23;24;25; 0714205255
Ina maana wewe Msambaa ni domo zege? Yaani huko unakoishi umekosa ndo uje utafutie huku JF?Sifa
Awe mcha mungu
Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja
Akili timamu
Asiyependa makuu.
Anayejua kulea watoto wamjue Allah
Miaka 23;24;25; 0714205255
Kwanini uhangaike kutafuta mke hapa duniani wakati ahaera kuna mabikira kibao? we jilipue tu kisha ukaoe huko, tena fanya fster ukifika unajichagulia mwenyeweSifa
Awe mcha mungu
Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja
Akili timamu
Asiyependa makuu.
Anayejua kulea watoto wamjue Allah
Miaka 23;24;25; 0714205255
samahani ndugu wewe umehifadhi mas hafu yote?Sifa
Awe mcha mungu
Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja
Akili timamu
Asiyependa makuu.
Anayejua kulea watoto wamjue Allah
Miaka 23;24;25; 0714205255
licha ya watu kubeza kukejeli na wengine kutia moyo. Nimepata mke humu humu na anavigezo nilivyohitaji. Na natarajia kufunga nae ndoa mwaka huu In Shaa Allah. Hivyo nashukuru ahsantenisamahani ndugu wewe umehifadhi mas hafu yote?
Kila LA kheri ndugu,Mungu hukutanisha watu katika njia mbalinbali,usijali ndugulicha ya watu kubeza kukejeli na wengine kutia moyo. Nimepata mke humu humu na anavigezo nilivyohitaji. Na natarajia kufunga nae ndoa mwaka huu In Shaa Allah. Hivyo nashukuru ahsanteni