Nahitaji mke

Nahitaji mke

shemahenga

Senior Member
Joined
Jun 28, 2015
Posts
130
Reaction score
51
Sifa
Awe mcha mungu
Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja
Akili timamu
Asiyependa makuu.
Anayejua kulea watoto wamjue Allah

Miaka 23;24;25; 0714205255
 
Ndugu yangu wa kule kwetu ina maana kweli umekosa kupata mke kule nyumbani hadi uje huku jamii forums?
 
Sifa
Awe mcha mungu
Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja
Akili timamu
Asiyependa makuu.
Anayejua kulea watoto wamjue Allah

Miaka 23;24;25; 0714205255
Ina maana wewe Msambaa ni domo zege? Yaani huko unakoishi umekosa ndo uje utafutie huku JF?
 
Sidhani kama utapata mke mwenye akili timamu atakaekukubali! Wewe mwenyewe 'hazikutoshi' sasa huyu mke timamu utampata wapi?
 
Nenda kule facebook,kuna kundi linaitwa furaha ya ndoa katika uislamu.weka tangazo,fasta unakula kichwa mgosi.
Usilalamike tu yakikushinda,
tusisikie unasema ( ntende zeze mie)
 
Sifa
Awe mcha mungu
Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja
Akili timamu
Asiyependa makuu.
Anayejua kulea watoto wamjue Allah

Miaka 23;24;25; 0714205255
Kwanini uhangaike kutafuta mke hapa duniani wakati ahaera kuna mabikira kibao? we jilipue tu kisha ukaoe huko, tena fanya fster ukifika unajichagulia mwenyewe
 
Allah awazidishie ! Kwa michango na mawazo yenu mazuri. Ulichokoments ndo fikra zako na upeo wako uliojaaliwa.
 
Nyuzi kama hizi zina faida na hasara zake,mojawapo ni kutafutiana ban,nimeona kuna baadhi ya ka f.ri hapo juu analeta kashfa za kisengerem.a
 
Mke anatafutwa popote acheni kumkwaza ustaadhi, pengine anatafuta mke wa nne jeee
 
licha ya watu kubeza kukejeli na wengine kutia moyo. Nimepata mke humu humu na anavigezo nilivyohitaji. Na natarajia kufunga nae ndoa mwaka huu In Shaa Allah. Hivyo nashukuru ahsanteni
Kila LA kheri ndugu,Mungu hukutanisha watu katika njia mbalinbali,usijali ndugu
 
Back
Top Bottom