NAHITAJI MKE

NAHITAJI MKE

Davey 2017

Senior Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
109
Reaction score
133
Habari za leo wana JF,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 40, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni mwajiriwa na mfanyabiashara, naishi Dar es Salaam na ni mkristo. Sibagui dini.

Mengine tutajuzana, kwa mawasiliano ni PM.



Asanteni
 
Habari za leo wana JF,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 40, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni mwajiriwa na mfanyabiashara, naishi Dar es Salaam na ni mkristo.

Mengine tutajuzana, kwa mawasiliano ni PM.



Asanteni
Hapo kwenye dini ni tatizo. Kama umeamua kutafuta mwanamke aliye na mtoto ama hana basi na dini usingebagua
 
Back
Top Bottom