Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani huna mmiliki wa kujenga naye familia ili nije pm nijikamatie bahati yangu kuwa mmiliki wako Mama?[emoji87]
Sawa ila kwa karne hii ukitaka ufe masikini oa mwanamke ambaye ni jobless mkuu.interlacustrineregion,
mvivu labda afu hajui kazi ya mwanamke ni uzazi na yeye ni kutafuta kwa jasho.
sawa ushapata mke jombaaSawa ila kwa karne hii ukitaka ufe masikini oa mwanamke ambaye ni jobless mkuu.
Hello ladies and gentlemen, it is my hope that you're all doing great. As the title says hereinabove, I would like to inform you that I'm now searching for the right one(wife material or my future baby's' mama) ambaye tutaishi pamoja maisha yetu yote mpaka kifo.
Awe na sifa sifuatazo:-
a) Awe na elimu.
b) Awe na kazi na aaungukie katika makundi haya Doctor, Advocate, Engineer, Accountant or teacher.
c) Awe na Umri wa 18-26
d) Awe na hofu ya MUNGU.
e) Asiwe mrefu wa kati.
kwa upande wangu.
a) Nina 30 years, pia mimi ni mrefu wa kati.
b)Nina uchumi wa kati
c) Nina hofu na MUNGU
d) Nina elimu nzuri tu.
Napenda kuwakumbusha tu kwamba mke anatafutwa popote pale na kuna mbinu mbalimbali za kumpata mke. Hivyo nimeamua kutumia njia hii ili nione kama nitapata mke mwema.
NB: Nimegundua kuwa kutafuta mke ni mchakato mgumu sana kuliko hata kutafuta kazi katika kipindi hiki cha awamu ya tano.
Mwisho, nipo makini sana na sina utani kuhusu hili jambo. Hivyo kama kuna mke ambaye yupo serious anatafuta mume karibu sana kwa ajili ya kuanzisha maisha mapya.
Ahsanteni na karibuni kwa michango. Nawatakiwa sabato njema na wikiendi njema wakuu.
[emoji23][emoji23]Zama PM wewe ukishaambiwa COMPLICATED maana yake unaweza penya depend na usiriaz wako