miminimama
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 696
- 1,818
OK Joshy.
Yes. Mna nafasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Mna nafasi.
hahahhahahahah ana elimu nzuri tu mkuu mbavu zangu mie jaman maan nmecheka kwa sauti mpk watu wamenishangaaWewe unaangukia kundi gan kati hayo???[emoji848][emoji848][emoji848] doctor,engenieer,advocate???
Au ndo una elimu "nzuri" TU
Kaka mpaka leo bado hujapata tu ?Itategemea kama utanishawishi
DiniHello ladies and gentlemen, it is my hope that you're all doing great. As the title says hereinabove, I would like to inform you that I'm now searching for the right one(wife material or my future baby's' mama) ambaye tutaishi pamoja maisha yetu yote mpaka kifo.
Awe na sifa sifuatazo:-
a) Awe na elimu.
b) Awe na kazi na aaungukie katika makundi haya Doctor, Advocate, Engineer, Accountant or teacher.
c) Awe na Umri wa 18-26
d) Awe na hofu ya MUNGU.
e) Asiwe mrefu wa kati.
kwa upande wangu.
a) Nina 30 years, pia mimi ni mrefu wa kati.
b)Nina uchumi wa kati
c) Nina hofu na MUNGU
d) Nina elimu nzuri tu.
Napenda kuwakumbusha tu kwamba mke anatafutwa popote pale na kuna mbinu mbalimbali za kumpata mke. Hivyo nimeamua kutumia njia hii ili nione kama nitapata mke mwema.
NB: Nimegundua kuwa kutafuta mke ni mchakato mgumu sana kuliko hata kutafuta kazi katika kipindi hiki cha awamu ya tano.
Mwisho, nipo makini sana na sina utani kuhusu hili jambo. Hivyo kama kuna mke ambaye yupo serious anatafuta mume karibu sana kwa ajili ya kuanzisha maisha mapya.
Ahsanteni na karibuni kwa michango. Nawatakiwa sabato njema na wikiendi njema wakuu.