Nahitaji mke

Nahitaji mke

Joined
May 23, 2022
Posts
5
Reaction score
3
Za mida hii

Nina uhitaji wa kupata mke wa kufanya nae maisha, nahitaji awe na sifa zifuatazo.

1.Asizidi miaka 30
2.Awe na uelewa muhimu wa maisha
3.Napenda awe na muonekano mzuri, japo ni jambo la ziada

Sifa zangu

Kijana miaka 28
Niko Mwanza
Nimejiajiri
Mwili wa wastani
Mweusi



Tuwasiliane kwa PM kwa ajili ya kufahamiana zaidi.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom