Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nimeshtuka kweliMbona ghafla sana?
...awe tayari kwa ndoa mwakani!Habari wana ndugu mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dar es salaam ,mkristo na nimejiajiri natafuta mpenzi alietayari kuwa mke, vigezo asiwe na mtoto zaidi ya mmoja awe tayari kwa ndoa mwakani.
Kheri kama unao dhamira ya kweli ya kuoa.Habari wana ndugu mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dar es salaam ,mkristo na nimejiajiri natafuta mpenzi alietayari kuwa mke, vigezo asiwe na mtoto zaidi ya mmoja awe tayari kwa ndoa mwakani.
Safi sana..usiuweke...life is too short!!Nakuja piemu ifungue kabisa
Nataka mwaka ukipinduka nipinduke naye mkuu😂Safi sana..usiuweke...life is too short!!
Hahaaa....mwaka mpya mambo mapya!Nataka mwaka ukipinduka nipinduke naye mkuu😂
Niombee kwa Mungu afungue piemu sasa😂Hahaaa....mwaka mpya mambo mapya!