Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ni jambo jemaKama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukuru mungu nimempata mke huyo, chaguo la moyo mwenye kujitambua.
Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023, karibuni sana.
Karibu mkuu mungu atupe uzima .maana mwanzo niliambiwa natafuta mke nataka kulelewa kumbe sipo kama vifira za wengi.Mkuu tukaribishe tuje kumuona Mke na kula Mpunga pia....
Lazima nikaribie huu Mnuso...Karibu mkuu mungu atupe uzima .maana mwanzo niliambiwa natafuta mke nataka kulelewa kumbe sipo kama vifira za wengi.
Asante sanaHongera
Safi sana kamanda short and clear 🫡🫡Mimi age 40 nahitaji mke anayejitambua na wenye hekima.
Kama hujitambui kaa mbali.
*****
Update soma: Nimempata mke mtarajiwa
Nawaombea ndoa njemaKama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukuru mungu nimempata mke huyo, chaguo la moyo mwenye kujitambua.
Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023, karibuni sana.
Kumbe huwa mnapatemo kweli?Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukuru mungu nimempata mke huyo, chaguo la moyo mwenye kujitambua.
Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023, karibuni sana.
Hapa tu unafoka, huko ndoani si utakata mtu mitama shemeji.