Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ni jambo jemaKama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukuru mungu nimempata mke huyo, chaguo la moyo mwenye kujitambua.
Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023, karibuni sana.