king wa kings
Member
- Jun 7, 2023
- 65
- 94
Nahitaji mke mwenye miaka kuanzia 34 hadi 37, akiwa na watoto wasizidi wawili, awe muajiriwa serikalini au binafsi, mweupe, akiwa kajaa itapendeza, kabila si muhimu sana, dini akiwa mkristo itapendeza na akiwa muislam inajadilika, asiwe anaishi na tegemezi zaidi ya dada.
Mimi umri niko kati ya 40 na 50 ileee, ni muajiriwa serikalini. Niliwahi leta uzi hapa kuhusu kabila fulani tulijadili vya kutosha na uamuzi ni huu; kwa anayeishi Dar au mikoa ya kati itapendeza japo si kwa umuhim.
Aliyetayari karibu inbox tuyajenge, huenda ikawa bahati yetu.