Nahitaji Mke

Kuna member mmoja humu alikuwa anatafuta mume wa kumuoa sijui kama alipata au aliamua kupiga kimya baada ya kupata, mkipata muwe mnaleta mrejeo
 
Nimeimbisha pis moja ina miaka 23 iko moro na iko tayari kuolewa

Elimu form 4. Njoo nikupe connection mimi niko mbali sana
 
Kijana uende jumuiya utapata watu wa karibu ,huku mitandaoni wahuni ni wengi.
 
Kwahyo sisi cheusi mangara nani atatuoa....anyway kila la heri mwalimu
 
Unakuwaje social halafu ukose mchuchu mmoja mkaliiii

Aaaaah bro usiniangushe bhana

btn Mungu akupe hitaji la moyo wako
Brother
Wee Msukuma angalia unataka kuachwa na Basi! Yaani miaka 35 bado unajishauashaua hapa? Wewe mwenyewe huna mtoto? Ningelikuwa nakufahamu tabia yako ningekuita huku SHY uje ujiokotee toto la nguvu ingawa linakosa kigezo cha taaluma ya Afya.
Brother nashukuru Mwenyezi Mungu tayari nimempata
 
Kama hunywi pombe ni ngumu kumpata mwanamke style yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…