Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli hao ni pasua kichwa ila kwa show tu hawajambo. Huyo jamaa amejipangaje finencially? Maana hao wa umri huo wanapenda fedha balaaNaomba nikushauri.. Hawa wa 20 mpaka 28 hivi ni pasua kichwa! Watakupasua hasa..LAKINI SIO WOTE
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa miaka 30 walio single ni mabwawa ya mtera na wajuaji wakubwa.Naomba nikushauri.. Hawa wa 20 mpaka 28 hivi ni pasua kichwa! Watakupasua hasa..LAKINI SIO WOTE
Sent using Jamii Forums mobile app
BrotherUnakuwaje social halafu ukose mchuchu mmoja mkaliiii
Aaaaah bro usiniangushe bhana
btn Mungu akupe hitaji la moyo wako
Brother nashukuru Mwenyezi Mungu tayari nimempataWee Msukuma angalia unataka kuachwa na Basi! Yaani miaka 35 bado unajishauashaua hapa? Wewe mwenyewe huna mtoto? Ningelikuwa nakufahamu tabia yako ningekuita huku SHY uje ujiokotee toto la nguvu ingawa linakosa kigezo cha taaluma ya Afya.