Nahitaji mke

πŸ˜‚ kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 wanawake wenye 30-40 asilimia 98 wanawatoto, na asilimia 2 ndio hawana watoto.
Wanawake wenye 30-40 ambao hawajaolewa ni asilimia 85.
Wanawake wenye 30-40 kwa asilimia 90 ndio wanaongoza kwa vizinga.
Wanawake wenye 30-40 ndio wanaongoza kwa misongo ya mawazo.
Wanawake wenye 30-40 ndio wanaongoza kwa kuachika kwenye ndoa zao kwa asilimia 98.
Sio Mimi hizo ni takwimu.
 
Nyinyi under 30s mnaendana wenyewe kwa wenyewe.

Ili mpostiane vizuri huko Tik tok na instagram
Hao ni under 20 sasa sisi tumeshakua jamani 🀣🀣
 

Katika hayo wapo wasio kwenye makundi hayo atawapata tu wakuendana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…