Nahitaji mke

Nahitaji mke

😂 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 wanawake wenye 30-40 asilimia 98 wanawatoto, na asilimia 2 ndio hawana watoto.
Wanawake wenye 30-40 ambao hawajaolewa ni asilimia 85.
Wanawake wenye 30-40 kwa asilimia 90 ndio wanaongoza kwa vizinga.
Wanawake wenye 30-40 ndio wanaongoza kwa misongo ya mawazo.
Wanawake wenye 30-40 ndio wanaongoza kwa kuachika kwenye ndoa zao kwa asilimia 98.
Sio Mimi hizo ni takwimu.
 
Katika hayo wapo wasio kwenye makundi hayo atawapata tu wakuendana nae
 
Back
Top Bottom