Nahitaji mkopo benki ya kilimo

Nahitaji mkopo benki ya kilimo

Huko kwenu kama kuna equity bank karibu nenda hao jamaa wapo vizuri.
 
TADB navyowajua miye hawapo kuwa nufaisha wakulima wadogo hata kidogo!!
Hio benki ya kilimo ni kwaajili ya wakulima wakubwa tena walimao kwa teknolojia ya kisasa....go try your luck bro!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacheck jamaa wanaitwa PASS watakusaidia kupata mkopo
PASS ni madalali, kama ataweza kupita chujio lao ataweza kupata benki ya kilimo aende huko kuzuri zaidi.
Ila kama ni mkulima mdogo aende equity
 
PASS ni madalali, kama ataweza kupita chujio lao ataweza kupata benki ya kilimo aende huko kuzuri zaidi.
Ila kama ni mkulima mdogo aende equity
PASS wanakulink na bank pia wanatoa Gurantee ya mkopo wako mana unaweza usiwe na collateral bank inataka so wao wanakudhamini kama as 50%.
 
Sina imani na mabenki. Mungu nisaidie nipambane kivyangu. Ila walivyo wajinga, siku ukifanikiwa ukawa mkulima mkubwa una mihela yako kwenye akaunt, wanakuja wenyewe kukubembeleza ukope kwao.
 
Back
Top Bottom