deki
Member
- Sep 6, 2018
- 72
- 56
Wadau naombeni kujuzwa,nahitaji 1m ,tu vigezo vikoje kwenye hii benki,maana huku kwetu naiona kwenye tv,tu tafadhali nisaidieni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacheck jamaa wanaitwa PASS watakusaidia kupata mkopoWadau naombeni kujuzwa,nahitaji 1m ,tu vigezo vikoje kwenye hii benki,maana huku kwetu naiona kwenye tv,tu tafadhali nisaidieni
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimudanganye jamaaHuko kwenu kama kuna equity bank karibu nenda hao jamaa wapo vizuri.
PASS ni madalali, kama ataweza kupita chujio lao ataweza kupata benki ya kilimo aende huko kuzuri zaidi.Wacheck jamaa wanaitwa PASS watakusaidia kupata mkopo
PASS wanakulink na bank pia wanatoa Gurantee ya mkopo wako mana unaweza usiwe na collateral bank inataka so wao wanakudhamini kama as 50%.PASS ni madalali, kama ataweza kupita chujio lao ataweza kupata benki ya kilimo aende huko kuzuri zaidi.
Ila kama ni mkulima mdogo aende equity