Nahitaji mkopo, dhamana ni title deed ya kiwanja

Nahitaji mkopo, dhamana ni title deed ya kiwanja

Joined
Jun 21, 2014
Posts
49
Reaction score
9
Nawezaje kupata mkopo wa laki 6 kwa kuweka dhamana ya title ya kiwanja changu kimepimwa na serikali kipo Mkuranga...

Nitalipa hiyo pesa kwa muda wa miezi 7
 
Ainisha upon tayari kulipa riba ya % kwa kipindi hichi na upo wapi
[
QUOTE=Tanzania Halisi;10842480]Nawezaje kupata mkopo wa laki 6 kwa kuweka dhamana ya title ya kiwanja changu kimepimwa na serikali kipo Mkuranga...

Nitalipa hiyo pesa kwa muda wa miezi 7[/QUOTE]
 
Title deed!!
Huko mkulanga bado serikali kuidhinisha hati milki.sema una sales agreement"hati ya mauziano'toka serikali za mtaa.
 
Back
Top Bottom