Nahitaji mkopo dhamana vyeti vyangu

lepaima

Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
44
Reaction score
12
Ndugu zangu,

Naombeni msaada wenu, nahitaji mkopo kwa ajili ya kufanya biashara ya Mbaazi soko lipo ila sina mtaji naombeni mnikiposhe million 1.

Nitaweka dhamana vyeti vyangu vya O level na chuo nitarejesha ndani ya mwezi mmoja,nipo Dar es Salaam Please niko tayari.

Kwa mazungumzo nawasikilizeni wadau. Thanks sana
 
kiasi gani
 
Unataka kwaajili ya kufanyia nini? na kwasasa unafanya shughuli gani
 
Kwenye hivyo vyeti matokeo yako yapoje? Usije ukaweka bond vyeti kumbe vina F za kutosha sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…