Nahitaji mkopo dhamana vyeti vyangu

Wewe sio yule jamaa humu aliyeweka uzi wa BURIANI VYETI VYANGU?
 
Vyet n suala la muhimu sana ....nafkir hawez kuviacha vyet vyake huko kwa milion ...wakat kuna siku atakuwa na shida navyo
 
jamn mm mwenyewe nahtaji m.1 ila mm ni mfanyakazi wa serikali so mwenye uwezo anikopeshe baada ya mwezi narudisha dhamana yangu ni vyeti pamoja na kazi yangu inshort siwez acha kurudisha
 
jamn mm mwenyewe nahtaji m.1 ila mm ni mfanyakazi wa serikali so mwenye uwezo anikopeshe baada ya mwezi narudisha dhamana yangu ni vyeti pamoja na kazi yangu inshort siwez acha kurudisha
Mshahara wako unapitia bank gani
 
Kukoka tukukoshe na vyeti tukutunzie duh!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imenibidi nicheke msibani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujue vijana jf wamevurugwa haya tuseme vina A zote utafanyia nini ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…