barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wewe sio yule jamaa humu aliyeweka uzi wa BURIANI VYETI VYANGU?Ndugu zangu naombeni msaada wenu. Nahitaji Mkopo kwa ajili ya kufanya biashara ya Mbazi. Soko lipo ila sina mtaji. Naomben mnikiposhe million 1 ntaweka dhamana vyeti vyangu vya O level na Chuo. Ntarejesha ndan ya mwezi mmoja. Nipo Dar es Salaam. Please niko tayari kwa mazungumzo. Nawasikilizen wadau. Thanx sana