Latoya Lassoya
Member
- Sep 8, 2018
- 84
- 67
Wakuu nina shida ya haraka nahitaji mkopo wa million 3,nitarudisha baada ya miezi mitatu, dhamana ni kiwanja chenye sqm 1000 kipo mwasonga Kigamboni. Nitashukuru kwa kila jibu nitakalopata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app