Nahitaji mkopo haraka, nitarejesha baada ya miezi 3

Nahitaji mkopo haraka, nitarejesha baada ya miezi 3

Joined
Sep 8, 2018
Posts
84
Reaction score
67
Wakuu nina shida ya haraka nahitaji mkopo wa million 3,nitarudisha baada ya miezi mitatu, dhamana ni kiwanja chenye sqm 1000 kipo mwasonga Kigamboni. Nitashukuru kwa kila jibu nitakalopata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom