Nahitaji Mkopo kwa riba

Nahitaji Mkopo kwa riba

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Habari wanawajasiriamali wanauchumi na wafanyabiashara wa jukwa hili pendwa na watu makini.

Je naweza kupata mtu ambae anakopesha kwa riba au au mwenye info zozote za upande wa hitaji hilo, kama yupo sio mbaya ukajongea PM kwa maongezi zaidi.

Nawasilisha.
 
Tatizo hamuaminiki, maisha yamekuwa magumu mno...
 
Back
Top Bottom