haya mambo yamekua ya kihuni sana hapa nchini yaani kufanya kazi sekta binafsi imekua dhambi; kupata mikopo imekua ni shida lakini selikalini watu wanapata tuu mikopo milion 30 na kuendelea huu ni ubaguzi bhana kama ni kusoma mbona wote ni wasomi jamanii sekta za fedha badilikeni bhana.