Nahitaji mkopo nimalizie ujenzi wa nyumba yangu

Nahitaji mkopo nimalizie ujenzi wa nyumba yangu

Joined
Jul 3, 2017
Posts
7
Reaction score
1
Jamani ninahitaji mkopo usiokuwa na ubabaishaji Kwa ajili ya ukarabati wa nyumba yangu,ni mfanyakaz wa sekta za kitalii

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
NASHIKA SITI.

TUSUBIRI MAJIBU
 
haya mambo yamekua ya kihuni sana hapa nchini yaani kufanya kazi sekta binafsi imekua dhambi; kupata mikopo imekua ni shida lakini selikalini watu wanapata tuu mikopo milion 30 na kuendelea huu ni ubaguzi bhana kama ni kusoma mbona wote ni wasomi jamanii sekta za fedha badilikeni bhana.
 
Back
Top Bottom