Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hati..nna kadi za pikipikiKama una hati tuwasiliane
Nenda bank iliyokaribu na wewe chief.Wanna bodi hivi ntapata wapi mkopo wa million MOJA na NUSU Kuna magunia ya mpunga nataka nikayanunue nije nikoboe naweza pata faida ya laki 4..dhamana nna pikipiki mbili ...nawasilisha
Tukipata watu wenye mtazamo huu....tutainua TAIFAWanna bodi hivi ntapata wapi mkopo wa million MOJA na NUSU Kuna magunia ya mpunga nataka nikayanunue nije nikoboe naweza pata faida ya laki 4..dhamana nna pikipiki mbili ...nawasilisha
Bank hawana msaada ni washirikina tu wale mbwa.Nenda bank iliyokaribu na wewe chief.