Hilo shamba ni kubwa sana kamanda kwani laweza kuwa na value C chini ya 100M kama liko mahala pazuri dar, jitahidi utumie hata TShs 500,000?= hupata hati ya shamba, then nenda benki yeyote hapa Tz hasa za wazawa uweke shamba lako kama collateral/ security (dhamana). Ila naomba usidanganyike kuuza shamba kwa sasa, acha ligain more value. Kuwa makini na matapeli ya humu jamiiforums na kwingine kote kuhusu msaada au kununua eneo lako kwani binadamu wasasa sijui ni kizazi gani hiki wajaameni!!! Bwana Yesu asifiwe.