Habari zenu wanajmiiforum pole na pilika za maisha mimi niko Dar nina shamba la heka mbili chanika ninaomba mnishauri ni wapi naweza kupata mkopo wa sh 6m kwa ajili ya kufuga kuku wa kienyeji kwa kutumia hati yangu ya kiwanja ya kijiji nitaweza kulipa kwa muda wa miaka mitatu pamoja na riba.Naomba mwenye kunisaidia mawazo tutakuwa pamoja na yeye sitapuuza mawazo ya mtu,niwatakie afya njema katika maisha yenu karibu kwa mawazo yenu