Nahitaji mkopo wa 500,000 nami nikue kibiashara

joseph mzuma

Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
58
Reaction score
50
Wakuu,
Niko ushirombo-bukombe najishughulisha na biashara ya MPUNGA mara baada ya kumaliza chuo mwezi wa 7, nilianza na junia 1 hadi sasa nachukua mbili ni biashara nzuri inalipa naomba mwenye nia na uwezo anikopeshe laki 5 niizungushe kwenye hii biashara nitairejesha
Dhamana yangu ni VYETI vyangu vya SHULE na CHETI cha kuzaliwa.
 
Mmmh..cheti cha kuzaliwa????????lol
Ila nakushauri anza na huo mdogo ikiwezekana cheza upatu as i did
 
Wakuu,
Niko ushirombo-bukombe najishughulisha na biashara ya MPUNGA mara baada ya kumaliza chuo mwezi wa 7, nilianza na junia 1 hadi sasa nachukua mbili ni biashara nzuri inalipa naomba mwenye nia na uwezo anikopeshe laki 5 niizungushe kwenye hii biashara nitairejesha
Dhamana yangu ni VYETI vyangu vya SHULE na CHETI cha kuzaliwa.

Nitumie number yako. Ushilombo Bukombe ni mkoa gani?
 
Kaka samahani naomba kuuliza debe/gunia la mpunga hujo Ushirombo limefika shs.ngapi!
 
Back
Top Bottom