joseph mzuma
Member
- Dec 31, 2015
- 58
- 50
Wakuu,
Niko ushirombo-bukombe najishughulisha na biashara ya MPUNGA mara baada ya kumaliza chuo mwezi wa 7, nilianza na junia 1 hadi sasa nachukua mbili ni biashara nzuri inalipa naomba mwenye nia na uwezo anikopeshe laki 5 niizungushe kwenye hii biashara nitairejesha
Dhamana yangu ni VYETI vyangu vya SHULE na CHETI cha kuzaliwa.
bukombe ni wilaya mkoa ni geita number yangu niNitumie number yako. Ushilombo Bukombe ni mkoa gani?
bukombe ni wilaya mkoa ni geita number yangu ni
0752566892