Mkuu watu tuna hali ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]ef50 unaita kiasi kidogo cha pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew utakua hauaminiki tu, yaani huna watu wa karibu hasa marafiki wa kukopeshana kiasi kidogo hicho cha pesa?
hakuna kpindi kizuri kama hiki mnachokiita kigumu.. kama uliset plan zako vizuri za kihalali kipindi kileeee cha JK basi sasa hivi 50 hela ya kawaida sana.. (najiongelea mimi hasa)Mkuu watu tuna hali ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]ef50 unaita kiasi kidogo cha pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi nmetumbuliwa tangu 2012 mkuu...hakuna kpindi kizuri kama hiki mnachokiita kigumu.. kama uliset plan zako vizuri za kihalali kipindi kileeee cha JK basi sasa hivi 50 hela ya kawaida sana.. (najiongelea mimi hasa)
Huko kutumbuliwa ni kama umekumbushwa wewe sio wakuajiliwa, hebu chamngamka sasa hivi zitafute fursa uzifanyie kazi..mimi nmetumbuliwa tangu 2012 mkuu...
kwangu ni pesa kubwa kweli
Kweli. Ukata umetengeneza Fursa nyingi mno na kuleta USAWA kwenye mengi. Kuna watu walikaba kila engo ila hawana mitaji nowhakuna kpindi kizuri kama hiki mnachokiita kigumu.. kama uliset plan zako vizuri za kihalali kipindi kileeee cha JK basi sasa hivi 50 hela ya kawaida sana.. (najiongelea mimi hasa)
Mmmmh huna hata jiran ukaweka chochote rehan?Habari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu haliliki na haliendi bure naomba atakaeniamini nitashukuru
Niko arusha
Asanteni
hahahaha hii imenifurahisha sana... kimsingi huwezi kuweka hela kabisa kwa ajili ya gesi ukisubiri iishe... inawatokea watu wengi sana hii kitu..Gesi imeisha nini??maana huwa inaisha siku huna ela