Nahitaji mkopo wa 50000 nakupa uaminifu wangu

jrnako

Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
40
Reaction score
13
Habari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu haliliki na haliendi bure naomba atakaeniamini nitashukuru

Niko arusha
Asanteni
 
Duu! Unakopa jf? Mtaani kwenyewe ukipata wa kukusikiliza shukuru.
 
Mkuu watu tuna hali ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]ef50 unaita kiasi kidogo cha pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hakuna kpindi kizuri kama hiki mnachokiita kigumu.. kama uliset plan zako vizuri za kihalali kipindi kileeee cha JK basi sasa hivi 50 hela ya kawaida sana.. (najiongelea mimi hasa)
 
mimi nmetumbuliwa tangu 2012 mkuu...
kwangu ni pesa kubwa kweli
 
mimi nmetumbuliwa tangu 2012 mkuu...
kwangu ni pesa kubwa kweli
Huko kutumbuliwa ni kama umekumbushwa wewe sio wakuajiliwa, hebu chamngamka sasa hivi zitafute fursa uzifanyie kazi..
Polee sana na haujachelewa iweke mipango yako sasa hivi ili baadae usipate tabu.
 
hakuna kpindi kizuri kama hiki mnachokiita kigumu.. kama uliset plan zako vizuri za kihalali kipindi kileeee cha JK basi sasa hivi 50 hela ya kawaida sana.. (najiongelea mimi hasa)
Kweli. Ukata umetengeneza Fursa nyingi mno na kuleta USAWA kwenye mengi. Kuna watu walikaba kila engo ila hawana mitaji now
 
Habari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu haliliki na haliendi bure naomba atakaeniamini nitashukuru

Niko arusha
Asanteni
Mmmmh huna hata jiran ukaweka chochote rehan?
 
Back
Top Bottom