Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Habari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu haliliki na haliendi bure naomba atakaeniamini nitashukuru
Niko arusha
Asanteni
Mbona kicheko chako kinaonesha hio pesa ni ndogoMkuu watu tuna hali ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]ef50 unaita kiasi kidogo cha pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kuna wakati mwingine mtu anasema kitu ... mpaka unaamua kucheka maana ww hio ela kwako changamoto...Mbona kicheko chako kinaonesha hio pesa ni ndogo
Ndio maisha yetu haya. Mwingine anakuwa na pesa nyingiUnajua kuna wakati mwingine mtu anasema kitu ... mpaka unaamua kucheka maana ww hio ela kwako changamoto...
Very perfect.hakuna kpindi kizuri kama hiki mnachokiita kigumu.. kama uliset plan zako vizuri za kihalali kipindi kileeee cha JK basi sasa hivi 50 hela ya kawaida sana.. (najiongelea mimi hasa)
NIpigie. MKopo wangu hauna masharti. Sharti langu moja tu, uje mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeeee.Habari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu haliliki na haliendi bure naomba atakaeniamini nitashukuru
Niko arusha
Asanteni
Hajasema anahitaji pole. Yeye anahitaji mkopo na dhamana yake ni uaminifu alionao.....tehteehhPole kwa matatizo
Kwahyo???mxiuuuùuuHajasema anahitaji pole. Yeye anahitaji mkopo na dhamana yake ni uaminifu alionao.....tehteehh
Kwani nimekukosea wapi....[emoji15] [emoji15]Kwahyo???mxiuuuùuu
tena kubwa kweri kweri,heheheh kwa sauti ya magufurimimi nmetumbuliwa tangu 2012 mkuu...
kwangu ni pesa kubwa kweli
YahNdio maisha yetu haya. Mwingine anakuwa na pesa nyingi
mwingne kiduchu ila wote tunaishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweri kweritena kubwa kweri kweri,heheheh kwa sauti ya magufuri
AminaYah
Mungu ni mwema siku zote