Nahitaji mkopo wa 50000 nakupa uaminifu wangu

Nahitaji mkopo wa 50000 nakupa uaminifu wangu

Habari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu haliliki na haliendi bure naomba atakaeniamini nitashukuru

Niko arusha
Asanteni

SHIDA INAANZIA HAPO KWENYE BOLD. MACHALI YA ARUSHA MNASIFIKA KWA UWIZI. HIVYO KUWAAMINI NI VIGUMU SANA.
 
Pole sana mkuu, najua watu wanaweza wasikuelewe ila hali kama hii hutokea, binafsi sina uwezo tu ila ningekusaidia. Kila la kheri mkuu
 
Yaonekana una uhakika wa kurudisha hela, weka bond ya kitu chenye thamani ya laki na nusu, utapata mkopo wako sekunde mkuu..
 
Mkuu kunavyanzo vingi Tu vya kufanikisha ombi lako labda nikupe njia inayonisaidiaga kutatua matatizo ya kifedha hizi ndogo ndogo mkuu pendelea Sana kukopa kwenye mitandao ya simu na uwe unalipa hata kama hauna shida ili kuweza kukuza kiwango chako cha mkopo na pendelea kulipa kabla ya wakati niamini utaacha kuwasumbua watu
 
Nahisi ili ukopeshwe kwanza uweka jina lako halisi!Weka Kitambulisho cha Kupigia kura,driving licence pamoja na kadi ya benki!Najua mtu akiona vyote hvyo halisi vinaendana na address yako basi umepata mkopo chap chap
 
hakuna kpindi kizuri kama hiki mnachokiita kigumu.. kama uliset plan zako vizuri za kihalali kipindi kileeee cha JK basi sasa hivi 50 hela ya kawaida sana.. (najiongelea mimi hasa)
Very perfect.
 
Habari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu haliliki na haliendi bure naomba atakaeniamini nitashukuru

Niko arusha
Asanteni
NIpigie. MKopo wangu hauna masharti. Sharti langu moja tu, uje mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom