Nahitaji mkopo wa 50000 nakupa uaminifu wangu

Nachokushauri kama kweli una shida na una marafiki ambao hata kukusaidia hiyo 50,000 hawawezi jitafakari upya huo ni urafiki gani ulio nao na hao marafiki zako..
 
Mkuu hauna hata ndugu wa kuwaazima[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mmmmh ulivosema upo Arusha umeharibu kila kitu, machalii wa chuga siwawezi
 
Nachokushauri kama kweli una shida na una marafiki ambao hata kukusaidia hiyo 50,000 hawawezi jitafakari upya huo ni urafiki gani ulio nao na hao marafiki zako..
Vyuma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…