Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hauna hata ndugu wa kuwaazima[emoji15] [emoji15] [emoji15]Habari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu haliliki na haliendi bure naomba atakaeniamini nitashukuru
Niko arusha
Asanteni
Mmmmh ulivosema upo Arusha umeharibu kila kitu, machalii wa chuga siwaweziHabari wakuu nimepata matatizo ya kifamilia wakuu nina shida sana wakuu nahitaji atakaeweza kunikopesha sh 50000 nitarudisha tarehe 20 ni uaminifu wangu 100% nitarudisha maana jasho la mtu haliliki na haliendi bure naomba atakaeniamini nitashukuru
Niko arusha
Asanteni
Ni imani mkuuMmmmh ulivosema upo Arusha umeharibu kila kitu, machalii wa chuga siwawezi
Vyuma mkuuMkuu hauna hata ndugu wa kuwaazima[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Vyuma mkuuNachokushauri kama kweli una shida na una marafiki ambao hata kukusaidia hiyo 50,000 hawawezi jitafakari upya huo ni urafiki gani ulio nao na hao marafiki zako..