Nautico JF-Expert Member Joined Jul 28, 2017 Posts 341 Reaction score 788 Nov 7, 2018 #1 Nahitaji kukopeshwa milioni 1 nitarudisha baada ya mwezi 1 kwa kurudisha milioni 1 na laki 2 naweka dhamana ya simu IPhone 8 plus Niko mwanza. Mwenye kuvutiwa kusaidia karibu pm.
Nahitaji kukopeshwa milioni 1 nitarudisha baada ya mwezi 1 kwa kurudisha milioni 1 na laki 2 naweka dhamana ya simu IPhone 8 plus Niko mwanza. Mwenye kuvutiwa kusaidia karibu pm.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Nov 7, 2018 #2 Thamani halisi ya hiyo simu ni kias gani mkuu
Nautico JF-Expert Member Joined Jul 28, 2017 Posts 341 Reaction score 788 Nov 7, 2018 Thread starter #3 Simu ina wiki 3 nimenunua milioni moja laki 9
size bansi Member Joined Dec 25, 2017 Posts 11 Reaction score 16 Nov 7, 2018 #4 Rudisha pale dukani uliponunua hiyo simu wanaweza kukusikiliza wakakupa hiyo hela
J jamesmchome Member Joined Aug 4, 2018 Posts 31 Reaction score 31 Nov 7, 2018 #5 Simu umenunua wapi hapa Tanzania au nje ya Tanzania?
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Nov 7, 2018 #6 Nautico said: Simu ina wiki 3 nimenunua milioni moja laki 9 Click to expand... kaweke bondi pale dukani uliponunua simu... nina imani watakuelewa na kukupa hela
Nautico said: Simu ina wiki 3 nimenunua milioni moja laki 9 Click to expand... kaweke bondi pale dukani uliponunua simu... nina imani watakuelewa na kukupa hela
E enterprenuer 1974 Member Joined Oct 13, 2018 Posts 58 Reaction score 31 Nov 8, 2018 #7 Pole Mkuu ka umenunua simu ya 1.9m wiki tatu zimepita na Leo una emergency ya million moja.
Nautico JF-Expert Member Joined Jul 28, 2017 Posts 341 Reaction score 788 Nov 8, 2018 Thread starter #8 enterprenuer 1974 said: Pole Mkuu ka umenunua simu ya 1.9m wiki tatu zimepita na Leo una emergency ya million moja. Click to expand... Milioni 1 ndio imepelea kwenye mission yangu lakini nishasolve tayari na simu imebaki tu.
enterprenuer 1974 said: Pole Mkuu ka umenunua simu ya 1.9m wiki tatu zimepita na Leo una emergency ya million moja. Click to expand... Milioni 1 ndio imepelea kwenye mission yangu lakini nishasolve tayari na simu imebaki tu.
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Nov 8, 2018 #9 Nahisi unajuta kuimiliki hiyo simu unamtafuta mtu wa kuumizia ki mbinu zaidi
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 Nov 9, 2018 #10 Kipindi unanunua hiyo iPhone 8+ kwa 1.9 M balance yako ilikuwa kiasi gani??
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Nov 10, 2018 #11 Darmian said: Kipindi unanunua hiyo iPhone 8+ kwa 1.9 M balance yako ilikuwa kiasi gani?? Click to expand... Akikujibu hili please please nitag na mm pia
Darmian said: Kipindi unanunua hiyo iPhone 8+ kwa 1.9 M balance yako ilikuwa kiasi gani?? Click to expand... Akikujibu hili please please nitag na mm pia
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 Nov 10, 2018 #12 Sawa mkuu..hahaha kawombe said: Akikujibu hili please please nitag na mm pia Click to expand...