Nahitaji mkopo wa dharula

Nahitaji mkopo wa dharula

Nautico

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2017
Posts
341
Reaction score
788
Nahitaji kukopeshwa milioni 1 nitarudisha baada ya mwezi 1 kwa kurudisha milioni 1 na laki 2 naweka dhamana ya simu IPhone 8 plus

Niko mwanza.


Mwenye kuvutiwa kusaidia karibu pm.
 
Thamani halisi ya hiyo simu ni kias gani mkuu
 
Simu ina wiki 3 nimenunua milioni moja laki 9
 
Rudisha pale dukani uliponunua hiyo simu wanaweza kukusikiliza wakakupa hiyo hela
 
Nahisi unajuta kuimiliki hiyo simu unamtafuta mtu wa kuumizia ki mbinu zaidi
 
Kipindi unanunua hiyo iPhone 8+ kwa 1.9 M balance yako ilikuwa kiasi gani??
 
Back
Top Bottom